Find partners

Episodes

45

Latest episode

Aug 2026

Language

EN-US

About the show

KARIBU MSASA. A show where we talk to successful people about FAILURE.

Listen to episodes

46 recent
August 16, 2026Episode 21 hr 19 min

Ujana ni Kitendawili, Tengua! - MSASA NA ALLAN LUCKY

Send us Fan Mail Baada ya kuzungumzia pesa kwenye Episode 1 ya Season 2, sasa tumehamia kwa watafutaji wakuu wa hiyo pesa - vijana. Wanatafuta mkwanja. Wanatafuta kutoka. Wanatafuta kujikwamua. Lakini kwenye safari hii ya kutafuta, kujijenga na kufanikiwa, kitendawili cha kijana kufanikiwa kinatenguliwaje na nani anahusika kutengua? Kwenye Episode yetu ya pili, tuko na Allan Lucky, na anatupiga msasa wa kwa nini kitendawili hiki ni cha kaa kule, nikae huku, tumfinye mchawi. 😅 Kila mtu kwenye jamii ana nafasi katika kutengua kitendawili cha kijana kufanikiwa - kuanzia familia, malezi, mazingira, mifumo, hadi kijana mwenyewe. Na kama jamii ikifeli kutengua hiki kitendawili, kijana anakuwa na hali gani? Karibu tupate msasa. Guest: Allan Lucky Instagram: / allanlucky #MSASAPodcast #Ujana #TanzanianYouth #YouthDevelopment #YouthEmpowerment #AllanLucky Host: Hisia Instagram: / hisiatz MSASA PODCAST 🎙 Website: https://neiked.co.tz/msasa/ Follow the MSASA Podcast on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... Available on all streaming platforms.

August 3, 2026Episode 11 hr 14 min

Kuwa tajiri au maskini ni maamuzi binafsi - MSASA NA JOHN GEORGE

Send us Fan Mail Karibu msasani! 🎙️ Leo tuko na John George, na tunazungumza kuhusu jambo ambalo kila mmoja wetu analifukuzia, PESA. Lakini je, kupata pesa ndiyo changamoto kubwa, au kuzitunza? Financial freedom ni nini hasa? Na kwa nini maamuzi madogo tunayofanya leo yanaweza kuamua maisha yetu ya baadaye? Haya ni mazungumzo kuhusu pesa, nidhamu, uwekezaji, na maamuzi yanayoweza kubadili maisha yetu ya kifedha. Guest: John George Instagram: / georgejn2000 #FinancialFreedom #Investing #Wealth #PersonalFinance #MSASAPodcast Host: Hisia Instagram: / hisiatz MSASA PODCAST 🎙 Website: https://neiked.co.tz/msasa/ Follow the MSASA Podcast on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... Podcast Streaming: https://www.buzzsprout.com/2288412/share

December 14, 20251 hr 15 min

Mpishi wa pilau

Send us Fan Mail

December 13, 20251 hr 39 min

Bongo Mkononi

Send us Fan Mail Bongoflava imekuwa sauti ya kizazi - lakini ni nani aliyeianzishia safari? Karibu kwenye Msasa wa Taji Liundi — “Master T”..

December 13, 20251 hr 14 min

Tatizo ni kwenye kugawana %

Send us Fan Mail Je unapenda kula? Je wewe ni mnazi wa pilau? Je ukiwekewa pilau na pilau utakula pilau? Episode hii ya @Msasapodcast inanukia viungo vya pilau tamu kutoka kwa main chef @gillsaint. Humu ni nondo za jinsi gani unaweza kutobowa kwenye ulimwengu huu wa kujiajiri na kuajiriwa mtandaoni. Tufuatilie kwenye digital platfom zote @Msasapodcast , pia pilau likinoga onjesha na wenzio.😁

November 23, 20251 hr 17 min

Baraka za Baraka

Send us Fan Mail

October 26, 20251 hr 6 min

People Don’t Buy Software to Win , They Buy It to Stop the Pain

Send us Fan Mail Beyond code and connectivity, it’s about people, purpose, and progress. From Tanzania to the rest of the continent, @tahajiwaji , Founder and CEO of @beem.africa is redefining how businesses communicate, grow, and build lasting relationships through technology. But “You can’t build a big business just relying on technology.” In this episode of Msasa, we go beyond the buzzwords, exploring what it really takes to scale, adapt, and empower others in markets that are still finding their digital rhythm.

October 23, 20251 hr 41 min

Sina Kazi Naishi Ninavyotaka

Send us Fan Mail Hii version ya Msasa inaitwa “tega sikio, pesa inaongea”. Hapa stori ni jinsi gani unaweza kutumia hela kutengeneza hela wapi, kwa namna gani, kwa kipindi gani, na ukiwa na malengo gani. Bila kusahau, kwenye kutafuta hela kuna maisha pia. Je, unastaafu vipi? Watch out new episode ya Msasa na @neema_chamy, inapatikana kwenye digital channels zote. Tafadhali share episode hii adimu kwa mtu ambaye ungetamani apate madini kuhusu pesa. #msasapodcast #tegasikio #pesainaongea #richauntievibes #moneytalks #financialfreedom.

October 7, 20251 hr 30 min

Kuna Maisha kwenye Siasa

Send us Fan Mail Msasa wa leo umeingia na boti la mapema, so pay attention maana kuna zawadi ya madini kutoka Thomas kibwana . Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na ubobezi wa mauzo.

September 28, 20251 hr 15 min

The Entrepreneur’s Guide to Employment

Send us Fan Mail In this episode of Msasa with Rumisho, we dive deep into leadership, integrity, teamwork, and the entrepreneurial spirit. From taking full responsibility, to building confidence as the number one salesperson in your business, Rumisho shares lessons from his own journey. 🎧 Guest: Rumisho Shikonyi 🎙 Host: Elisha Simon (Hisiatz) Tune in for insights on: #Inspiration #Entrepreneurship #GrowthMindset #businessowner #PersonalGrowth #MsasaPodcast #BusinessInFashion #LifeLessons Join us on the MSASA PODCAST 🎙️: 🌐 Website: https://neiked.co.tz/msasa/ 🎧 Listen on Buzzsprout: https://www.buzzsprout.com/2288412/share Discover and explore the podcast!

Is this your show?

Claim this listing to keep it up to date, reach guests who want to pitch you, and manage bookings with Guestify.

Claim this listing

More Business podcasts